• Business Starts Here!

Milestone Electronics


  • Opposite Steps Entertainment
  • Likoma and Masasi Street junction
  • Kariakoo
  • Ilala District
  • Dar es Salaam

Tunahusika na biashara ya kuuza simu za mkononi, mobile phone accessories. Tunazo simu aina zote ikiwemo Samsung, iphones, Huawei na Tecno. Tunatoa warranty ya hadi mwaka mzima kwa bidhaa zetu. Karibu ujipatie bidhaa original kwa bei nafuu.Tunafanya delivery service pia kwa wateja wanao hitaji.