• Business Starts Here!

Maica Company Limited


  • 11 Kanyigo Street
  • Sinza Madukani
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam

Watengenezaji na wauzaji wa samani za nyumbani na maofisini zilizo na kiwango cha hali ya juu. Huduma zetu zimelenga kumfurahisha mteja na kumfanya aweze kuainisha thamani yake. Samani zetu zinatengezwa hapa Tanzania lakini ubora wake ni wa hali ya juu.

Endapo utapenda kutengenezewa "furniture" ya mtindo wa pekee (custom made), usisite kuwasiliana nasi.
Tunatoa huduma zote kwa umahili mkubwa
"MAICA- The Luxury Within"