• Business Starts Here!

MFS Shop


  • City Mall
  • Bibi Titi Road/Morogoro Road
  • Mnazi Mmoja
  • Ilala District
  • Dar es Salaam

MFS Shop ni waagizaji na wauzaji wa fashion accessories mbalimbali kutoka nchi za bara Ulaya na Arabuni. Karibu MFS Shop ujipatie manukato mazuri ya kike na ya kiume kutoka Ufaransa na manukato ya Oud kutoka Arabuni. Vilevile karibu ujipatie fashion sunglasses, handbags, English gold necklaces na vikuku pamoja na waist chains.