• Business Starts Here!

Kiwango Metal Works


  • Himo Junction Road
  • Himo
  • Moshi Vijijini District
  • Kilimanjaro

Tunatoa huduma ya kuunda na kutengeneza madirisha, milango pamoja na samani za ndani kwa kutumia chuma. Tunapokea oda kubwa na ndogo. Tunao uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye biashara hii. Karibu tukutengenezee madirisha ya nyumbani au jengo la ofisi yanayoendana na wakati.