• Business Starts Here!

Kisanga Teachers College


  • Kisanga Street
  • Tegeta
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Kisanga Teachers College inatangaza nafasi za masomo katika kozi ya stashahada ya ualimu wa sekondari. Form za kujiunga zinaweza kupatikana chuoni. Ada ni nafuu sana na inaweza kulipiwa kwa awamu. Hostel zipo kwa wavulana na wasichana kwa bei nafuu. 

Chuo kimesajiliwa na wizara ya elimu, sayansi na technology wa namba CU 92 na NACTE registration number REG/TLF/01