• Business Starts Here!

Kinondoni Health Centre


  • Kawawa Road/Morogoro Road
  • Magomeni Usalama
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Tunatoa huduma zifuatazo:

  • Uzazi wa mpango
  • Kliniki ya wajawazito
  • Huduma wakati na baada ya kujifungua
  • Uchunguzi wa saratani ya shingo ya uzazi
Pamoja na huduma nyingine nyingi. Tafadhali wasiliana nasi kwa maulizo zaidi.