• Business Starts Here!

Kilwa Islamic Secondary School


  • Masoko street
  • Kilwa Masoko
  • Kilwa District
  • Lindi

Hii ni shule ya Kiislamu inayotoa elimu kwa wanafunzi wa kutwa na Bweni kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne. Elimu bora na malezi ndio kpaumbele chetu kwa jamii. Shule hii ipo katika mazingira mazuri ya kujisomea na kutoa huduma zote za jamii. "Mlete mwanao apate elimu bora na malezi bora"