• Business Starts Here!

Kariakoo Today


  • Opposite Open University
  • Kawawa Road
  • Kinondoni B
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Jarida la Kariakoo Today linazidi kujiimarisha kumrahisishia MTanzania kupata taarifa za bidhaa na huduma kwa haraka hususani zinazopatikana katika eneo letu kubwa la kibiashara la Kimataifa la Kariakoo.

Jarida letu linakuja na ubunifu mpya zaidi ikiwa ni pamoja na kuanza kutumika kwa mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram. Matangazo yaliyomo kwenye jarida letu yanaweza pia kuonekana kwenye mtandao huu wa Directory.co.tz.

Vilevile tunatoa huduma ya ujumbe wa matangazo (bulk sms)  ya biashara, huduma na bidhaa kupitia simu za mkononi. Yote haya ni kuhakikisha WaTanzania na wageni wanaotegemea soko letu la Kariakoo wanapata taarifa, huduma na manunuzi kwa haraka zaidi tukitumia kauli mbiu ya Okoa Muda, Okoa Fedha, Ishi Kipekee.