• Business Starts Here!

Immaculate Nursery and Primary Schools


  • Hekima Street
  • Kimara Temboni
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam

We provide quality education to children of all learning abilities using 3R's and Montessory Methodology to achieve excellent results rapidly.

** - ** - **

Immaculate Nursery and Primary Schools ni shule ambayo inafundisha kwa mfumo wa Montessori. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wasichana na wavulana. 

Shule inatoa huduma ya chakula na usafiri kwa wanafunzi wote. Tafadhali wasiliana nasi uweze kupata taarifa zaidi kuhusu shule yetu.