• Business Starts Here!

Humaniq Transport


  • Near Clouds fm
  • 16 Off Coca-Cola Road
  • Mikocheni B
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Humaniq ni kampuni ya kimataifa inayotoa huduma za kifedha za kizazi kipya. Lengo letu ni kuondoa umaskini kwenye mamilioni ya watu wanaoishi katika uchumi unaojitokeza.

Umechoka kwenda kwenye kituo cha basi kununua tiketi mapema?

Hakuna tena haja ya kukaa kwenye foleni na kulipa usafiri ili ufikie kituo cha mabasi na kununua tiketi.Hakuna haja ya kukabiliana na mawakala feki na wapiga debe wanaoweza kukudanganya na kukuongezea bei.

Sasa una njia salama ya kununua tiketi mtandaoni kutoka kwa kampuni yoyote ya basi kwenda popote nchini.

Tunaweza kukununulia tiketi kutoka kwa kampuni yoyote ya basi
Dar Express
 
Abood
 
Dar Lux
 
Tashriff
 
Shabiby line
 
Tahmeed coach
 
Kisesa Express
 
Kilimanjaro Express