• Business Starts Here!

Friends Corner Hotel Limited


  • Morogoro Road
  • Manzese Argentina
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam

Friends Corner Hotel ni hoteli nzuri inayokuwezesha kupata malazi, chakula na huduma nyinginezo. Vyumba vyetu ni nadhifu na vyenye nafasi ya kutosha. Tupo karibu kabisa na huduma za usafiri kwenda mjini na mahali pengine kwa urahisi. Tupo wastani wa dakika 10 kutoka kituo kikuu cha mabasi ya mkoani cha Ubungo. Bei zetu ni nzuri na nafuu sana. 

Bei zetu:
  • TZS 15,000 - Single room
  • TZS 20,000 - Double room

Tafadhali zingatia, bei zinaweza kubadilika. Tafadhali hakiki wakati wa kulipia chumba.