• Business Starts Here!

Debby Mitumba Classic


  • Kairuki Road
  • Mikocheni A
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Debby Mitumba Classic ni wauzaji wa mavazi ya kiume. Tunauza mitumba grade A, shirts, tshirts, jeans, cadet, shorts, belts, sweaters, coats and shoes. Karibu dukani kwenu ujipatie bidhaa original kwa bei nzuri. QUALITY IS OUR FIRST PRIORITY.