• Business Starts Here!

DAR Rapid Transit Agency


  • LAPF Tower
  • Bagamoyo Road
  • Makumbusho
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Wakala ya mabasi yaendayo haraka (DART) ni taasisi ya serikali iliyoundwa kwa mujibu wa tangazo la serikali No. 120 la tarehe 25 Mei 2007 chini ya sheria No. 30 ya Wakala za Serikali ya mwaka 1997 na marekebisho yake. Jukumu kuu la DART ni kuanzisha na kuendesha mfumo wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka kwa jiji la Dar es Salaam. 

----------------------------------------X

DART Agency is a government entity established by GN No. 120 of 25th May 2007 under the Exective Agencies Act No. 30 of 1997 and its subsequent amendments. The key role of the DART Agency is to establish and operate the Bus Rapid Transit (BRT) system for Dar es Salaam.