• Business Starts Here!

D.M. Hotel Dodoma


  • Sokoni Road
  • Majengo
  • Dodoma Mjini District
  • Dodoma

Karibu D.M. Hotel. Tunatoa huduma za chakula na malazi. Huduma zetu ni bora na zenye kuzingatia maslahi ya mteja wetu. Vyumba vyetu ni vikubwa, visafi na vyenye ubora wa hali ya juu. Tupo karibu na soko kuu la Majengo, Dodoma na umbali wa dakika kumi kutoka Nyerere square. Karibu sana utupe nafasi ya kukuhudumia. 

Bei zetu: 
  • TZS 20,000 - Chumba kidogo chenye feni
  • TZS 25,000 - Chumba medium chenye AC
  • TZS 30,000 - Chumba kikubwa chenye AC na sofa set

Bei ni pamoja na kifungua kinywa (bed and breakfast). Tafadhali zingatia kwamba bei zinaweza kubadilika bila taarifa za awali.