• Business Starts Here!

Cut and Fit Tailoring


  • Near Hotel De Mag
  • Kambangwa Street
  • Kinondoni B
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Cut and Fit Tailoring ni wabunifu na washonaji wa mavazi ya kiAfrika yenye hadhi ya kimataifa. Tunatoa huduma ya kubuni mitindo aina yote, kushona na kudarizi. Tunapokea oda kwa watu binafsi na taasisi zote. Vilevile tunauza vitenge na batik.

Welcome to Cut and Fit Tailoring. We provide tailor made African wear designs to suit your style and budget. You can also bring your own design and we will produce it for you. We welcome orders from individuals and corporate clients. We also sell Vitenge and Batik clothing materials.