• Business Starts Here!

Chuo cha Ufundi Stadi Kaluta


  • Mikumi Street
  • Magomeni Mikumi
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Umeme wa Majumba na michoro inayokubalika na TANESCO, Umeme wa magari na Electronics ya Magari, Umeme wa sola na utengenezaji wa Inveta, Utengenezaji na Ufungaji wa satellite dish na Antenna, Utengenezaji na ufungaji wa Mageti ya Automatic, electric fence na CCTV Camera, Uungaji , ukaraji na ubomoaji wa vyuma, Utengenezaji wa Welding machine, Udereva, Computer course, Utengenezaji wa TV Camera na Simu za Mkononi.