• Business Starts Here!

Cholemu Investment Limited.
 • Dodoma Branch

 • One Way Street
 • City Centre
 • Dodoma Mjini District
 • Dodoma

Cholemu Investiment Limited ni kampuni iliyoanzishwa mwaka 2017 jijini Dar Es Salaam na kusajiliwa chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002 nchini Tanzania na baadae kupata kibali cha kufanya shughuli za upimaji na uuzaji wa ardhi kwa watu binafsi, vikundi na taasisi kwa njia ya mkopo ndani ya eneo lote la nchi ya Tanzania.

Huduma zitolewazo na kampuni:
 • Uuzaji wa viwanja na mashamba
 • Utoaji wa mikopo ya viwanja na mashmba
 • Upimaji wa viwanja
 • Utengenezaji (uchoraji) wa ramani
 • Upangaji wa miji na makazi
 • Ushauri na muongozo juu ya ujenzi

Lengo la kampuni:
Kuuza mashamba na viwanja vilivyopimwa kwa njia ya mkopo.