- Kumbukamwe Street
- Kijitonyama
- Kinondoni District
- Dar es Salaam

-
Phone Numbers
- +255655596757
- +255684774554
Karibu sana Charis Toto Shop. Tunauza bidhaa za watoto wa kike na wa kiume kwa jumla na rejareja ikiwemo magauni, suruali, Tshirts, vipedo na nyinginezo nyingi. Tunajivunia kwa bidhaa bora zenye mvuto zitakazomfanya mtoto wako apendeze. Fika dukani kwetu uchague kutoka kwenye collection yetu. Tunaingiza mzigo kila wiki. Bei zetu ni nafuu sana.