- Lunde Street
- Mwananyamala A
- Kinondoni District
- Dar es Salaam

-
Phone Numbers
- +255655881177
- +255659436643
Candy Classic Fashion ni wauzaji wa nguo za watoto. Tunauza nguo za watoto wa kike na wa kiume kuanzia umri wa miaka 0 hadi miaka 14. Karibu kwetu ujipatie mahitaji yako ya nguo za watoto za aina mbalimbali.