- Morena Street
- Chadulu
- Dodoma Mjini District
- Dodoma

-
Phone Numbers
- +255752769343
- +255788825245
Bayona Life Lodge ni lodge mpya na ya kisasa inayotoa huduma ya malazi kwa wageni mbalimbali mjini Dodoma. Tupo karibu na round about ya Shabiby. Vyumba vyetu ni self contained na vina TV zenye chaneli za hapa nyumbani na kimataifa.
Bei zetu:
- TZS 25,000 per night
Angalizo: Bei zinaweza kubadilika bila taarifa za awali. Tafadhali wasiliana nasi kuweza kuweka oda ya chumba chako.