• Business Starts Here!

Asante Lodge, Dodoma


  • Jamhuri Road/Ndasha Street
  • Airport
  • Dodoma Mjini District
  • Dodoma

Mazingira ya hotel yetu ni rafiki, ya kipekee na yenye kuvutia. Tupo sehemu nzuri iliyotulia, vyumba na huduma zetu ni bora kabisa. Tunatoa huduma ya malazi na chai (bed and breakfast). Vyumba vyetu ni nadhifu na vyenye kiyoyozi, TV, maji ya moto na baridi pamoja na Wi-Fi. 

Bei zetu: 
  • TZS 50,000
  • TZS 70,000
Karibu sana upumzike kwetu. Wasiliana nasi kwa kutupigia simu kuweka reservation ya chumba chako. Tafadhali zingatia kwamba bei zinaweza kubadilika bila taarifa. Tafadhali hakiki wakati wa kufanya booking.