• Business Starts Here!

AlJabry Commission Agent


  • Mwai Kibaki Road
  • Mikocheni B
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

AlJabry commission agent ni wauzaji wa magari kutoka Japan wenye uzoefu wa muda mrefu. Karibu ofisini kwetu uchague magari yaliyopo au unaweza kuagiza na tukakuletea ndani ya muda mfupi. Huduma zetu ni za uhakika. Mteja wetu ni Mfalme.