• Business Starts Here!

Afya Kwanza Pharmacy


  • Swahili/Makamba Street
  • Gerezani
  • Ilala District
  • Dar es Salaam

Afya Kwanza Pharmacy ni kampuni iliyo na uzoefu zaidi ya miaka 10 katika soko la vifaa vya hospitali na vifaa tiba Tanzania.  Tunauza kwa jumla na rejareja madawa ya binadamu.