• Business Starts Here!

Africarriers Limited


  • Nyerere Road
  • Vingunguti
  • Ilala District
  • Dar es Salaam

Africarriers Limited ni waagizaji wa magari kutoka Japan na India. Tunaagiza magari mapya pamoja na vipuri vyake yakiwemo magari aina ya Eicher, Golden Dragon na magari aina ya Saloon kama Toyota na Isuzu.